Monday, January 31, 2011

Vijana wa Telesales Vodacom

mdau kelvin akiwa na warembo wa Telesales Vodacom siku ya TGIF


Kaka noel akiwa na maiwaifu wake mtarajiwa wakipata msosi siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa bibie Agatha


Kigogo Elias akijaribu kuchombeza kwa dada Shoma wa Telesales Vodacom