Thursday, August 25, 2011

VIJANA WA VODACOM KAZI NI KWAKO



Vijana wa Vodacom Telesales wakijiachia katika viwanja vya ofisini baada ya kupigika sana

Thursday, August 18, 2011

FUTARI BWAGAMOYO JUMAPILI HII

MPOAFRIKA INAFURAHA KUKUKARIBIHA WEWE KAMA RAFIKI YETU KWENYE FUTARI SIKU YA JUMAPILI KULE WILAYANI BAGAMOYO KWA KUCHANGIA KIASI CHA TSH 20000/- KWA MTU SAFARI ITAANZIA PALE TANDIKA DAVIS CORNER NA NI SAA TATU ASUBUHI SHAPU.