Muimbaji wa nyimbo za injili jijini Bi Elisifa Malale katika pozi baada ya kumaliza kurekodi katika studio za MPOAFRIKA RECORDS chini ya mtayarishaji Ben Mwamba.
Kava la album ya kwanza kwa mwimbaji Elisifa Malale katika picha .
Msanii Rih one kutoka TMK akirekodi album yake ndani ya Studio za Mpoafrika jijini.
Mtayarishaji wa music katika studio za Mpoafrika PRODUCER BEN MWAMABA katika pozi
Sunday, February 20, 2011
Sunday, February 13, 2011
Friday, February 11, 2011
DAR LEO MCHANA HUUUUUUUUU KWEUPEEEEEE
Leo mjini raha hakuna hata foleni bwana kweupeeeee kama unavyokuona
hii ni garden iliyopo katikati ya jiji kwa wakati huu wa joto ni pazuri kupumzika lakini wakikukuta wenyeweee utaipata fresh.

Tuesday, February 8, 2011
SALOON YA UKWELI NDANI YA KIJIJI CHA POOL TABLE CLUB
Saloon ya kisasa ndani ya kijiji cha The pool table village kwa nje.
Ndani ya saloon hiyo iliyopo kijijini hapo
Kiti cha kisasa cha kunawia baada ya kupata huduma ya kunyoa ndani ya the pool village.
Sehemu tulivu ya kuchania nywele baada ya kuoshwa na warembo maridadi.

KARIBU KIJIJINI UTAKUTANA NA MAMBO KAMA......
Ndani ya kijiji cha pool kilivyo baadhi ya wadau ndani ya nyumba full kiyoyozi na tv bapaaaa kubwaaaa
Mmoja wa wachezaji wa timu ya MPOAFRIKA POOL CLUB akijifua uwanja wa nyumbani
Mrembo akijaribu kumfundisha mdau hayupo pichani jinsi ya kutumia mashine hizo mzionazo 777
Maadhali ya ndani ya 777 ni tulivu na upepo mwanana

PUB YA UKWELI NDANI YA TEMEKE MTONI MASHINE YA MAJI NAMBA 5 KUELEKEA MWISHONI KUFUNGULIWA HIVI PUNDE
Pub mya ya MPOAFRIKA ya kisasa ndani ya TEMEKE mtoni masine ya maji namba 5 ikiwa katika hatua za mwisho ili ifunguliwe rasmi.
Injinia akikagua mafundi wake katika pub hiyo kwa hatua iliyofikia ambayo inatia moyo waau mnakalibishwa sana nikaribu itafunguliwa
Fundi akimalizia kuweka paa ili MPOAFRIKA Pub ya ukweli iweze kufunikwa

SALOON YA KIUME NDANI YA TEMEKE MASHINE YA MAJI NAMBA TANO
Saloon ya ukweli pale karibu na kiota kipya cha MPOAFRIKA temeke mashine ya maji namba tano wadau karibuni mjionee wenyewe.
Monday, February 7, 2011
Wednesday, February 2, 2011
SPEECH FROM BOARD CHAIRMAN MWAKABANA
Sportsmen and women yesterday launched the Dar es Salaam modern pool table village in Temeke district.
The village is under the Mpoafrika Entertainment aimed to stage and host international pool table competitions in the country.
The Board Chairman of MPOAFRIKA, Mr. Mwakabana said during the launching ceremony that the village aims at promoting the game in the country and attain the international standard.
Mwakabana said that the game is gaining popularity in the country, but it lacks the high-quality venue to host several competitions.
He said that they have witnessed Tanzanian players compete in international competitions and learn a lot through the game.
“We are planning to host such international competitions in a long run, it can be done as we have already secured the best venue, our pilot stage is district and regional competitions that we plan to hosts,” he said.
The launching ceremony featured famous pool clubs in the city such as Brake Point, Gadafi, Kawe’s Shoko and Texas of Temeke.
There were also individual players from various parts of the city.
Apart of the pool table, the village also has a music studio that has been working with famous musicians like Fid Q, Chege and Suma Lee.

HAPPY BARTHDAY JACK
Mamaaa Ngwasuma akiwa na boy wake wakati wa tafrija ya kumpongeza mama Gwasuma akifikisha miaka kadhaaaaaaaaa
Mama Ngwasuma akiwa na Mwenyekiti wa Vodacom Telesals Mzee Kelvin Coster akipongezwa katika siku yake ya kuzaliwa Hongera Mama wa GWASUMA

Tuesday, February 1, 2011
Kijiji cha Ukweli ndani ya TEMEKE
Bango kubwa likikuelekeza sehemu kijiji kilipo ambalo ukifika tandika Davis corner utaliona likiwaka taa za ukweli.
Kaunta ya kisasa ambayo unaweza kupata vinywaji tofautitofauti katika kijiji hicho.
Wadau wakipata huduma mbalimbali katika kijiji hicho nyama choma, chips, supu, michemsho nk
Mkurugenzi akiwa na wadau hawapo pichani wakipata vinywaji tofauti bariiiiiidi na moto Raini na Vikali

Subscribe to:
Posts (Atom)