Tuesday, February 8, 2011

SALOON YA UKWELI NDANI YA KIJIJI CHA POOL TABLE CLUB

Saloon ya kisasa ndani ya kijiji cha The pool table village kwa nje.

Ndani ya saloon hiyo iliyopo kijijini hapo

Kiti cha kisasa cha kunawia baada ya kupata huduma ya kunyoa ndani ya the pool village.

Sehemu tulivu ya kuchania nywele baada ya kuoshwa na warembo maridadi.

No comments:

Post a Comment