Tuesday, February 1, 2011

Kijiji cha Ukweli ndani ya TEMEKE

Bango kubwa likikuelekeza sehemu kijiji kilipo ambalo ukifika tandika Davis corner utaliona likiwaka taa za ukweli.

Kaunta ya kisasa ambayo unaweza kupata vinywaji tofautitofauti katika kijiji hicho.

Wadau wakipata huduma mbalimbali katika kijiji hicho nyama choma, chips, supu, michemsho nk

Mkurugenzi akiwa na wadau hawapo pichani wakipata vinywaji tofauti bariiiiiidi na moto Raini na Vikali

No comments:

Post a Comment