Sunday, February 20, 2011

MPOAFRIKA STUDIO YA UKWELI KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM

Muimbaji wa nyimbo za injili jijini Bi Elisifa Malale katika pozi baada ya kumaliza kurekodi katika studio za MPOAFRIKA RECORDS chini ya mtayarishaji Ben Mwamba.

Kava la album ya kwanza kwa mwimbaji Elisifa Malale katika picha .

Msanii Rih one kutoka TMK akirekodi album yake ndani ya Studio za Mpoafrika jijini.

Mtayarishaji wa music katika studio za Mpoafrika PRODUCER BEN MWAMABA katika pozi

No comments:

Post a Comment