Tuesday, February 8, 2011

PUB YA UKWELI NDANI YA TEMEKE MTONI MASHINE YA MAJI NAMBA 5 KUELEKEA MWISHONI KUFUNGULIWA HIVI PUNDE

Pub mya ya MPOAFRIKA ya kisasa ndani ya TEMEKE mtoni masine ya maji namba 5 ikiwa katika hatua za mwisho ili ifunguliwe rasmi.

Injinia akikagua mafundi wake katika pub hiyo kwa hatua iliyofikia ambayo inatia moyo waau mnakalibishwa sana nikaribu itafunguliwa

Fundi akimalizia kuweka paa ili MPOAFRIKA Pub ya ukweli iweze kufunikwa

No comments:

Post a Comment