Tuesday, February 8, 2011

KARIBU KIJIJINI UTAKUTANA NA MAMBO KAMA......

Ndani ya kijiji cha pool kilivyo baadhi ya wadau ndani ya nyumba full kiyoyozi na tv bapaaaa kubwaaaa

Mmoja wa wachezaji wa timu ya MPOAFRIKA POOL CLUB akijifua uwanja wa nyumbani

Mrembo akijaribu kumfundisha mdau hayupo pichani jinsi ya kutumia mashine hizo mzionazo 777

Maadhali ya ndani ya 777 ni tulivu na upepo mwanana

No comments:

Post a Comment